Vituo Vya Usaili wa Kuandika kwa Kanda 23 April 2025
Ajira Portal announced Date and Venue for all Called for written interview April 2025. Usaili huu utafanyika kulingana na Kanda muombaji aliyopo. Kanda hizo ni Arusha, Dar es Salaam, Mbeya, Dodoma, Mwanza and Zanzibar.
Jiandae vizuri kuweza kupata maksi zuri kuweza kupata nafasi ya kuitwa kazini.
Vituo hivi ni kwa kada zinazofanya usaili tarehe 23 Aprili,2025