Jinsi ya Kutuma Maombi Nafasi za Kazi Uchaguzi Mkuu 2025

 

Jinsi ya Kutuma Maombi Nafasi za Kazi Uchaguzi Mkuu 2025

Jinsi ya Kutuma Maombi Nafasi za Kazi za Uchaguzi Mkuu 2025

Tume huru ya Uchaguzi Tanzania(INEC) imetoa tangazo la nafasi tatu za kazi za kujitolea (Msimamizi mkuu wa uchaguzi, Msimamizi msaidizi na karani) June 28 kupitia website ya inec.go.tz. Katika makala hii tutakuelezea jinsi ya kutuma maombi. 

Jinsi ya Kuandika Barua na Kutuma Maombi 

Muombaji wa Nafasi za Kazi za Kujitolea Usimamizi Uchaguzi Mkuu 2025 atafuata hatua hizi kukamilisha Maombi Yake 

1. Muombaji wa Nafasi Tatu tajwa anapaswa kuandika barua kwenda annuani ifuatayo 



2. Baada ya kuandika barua ya maombi ya nafasi ambayo muombaji anaomba barua yake ataifungasha kwenye bahasha na nyuma ya bahasha aandike nafasi anayoomba. Kwa waajiriwa wa serikali barua zao zipitie kwa mwajiri kwanza. 

3. Baada ya kuandika barua yako ya kuomba nafasi ya usimamizi uchaguzi mkuu, mwombaji atapeleka barua yake kwa msaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata (Mtendaji) ili kurahisisha utumaji wa maombi. Kumbuka Barua ya utambulisho ni muhimu kutoka kwa Mtendaji wa Serikali ya Mtaa au Kijiji. 

Download Pdf ya Tangazo Uweze Kusoma Viambatanisho pamoja na Wasifu, Masharti ya Nafasi hizi za Kazi Uchaguzi Mkuu 2025 yote hayo utayapata kupitia Link hapo chini. Pia Download Sample ya Barua ya Jinsi ya kuomba nafasi hizo za kujitolea na namna nzuri ya kuandika barua.

DOWNLOAD TANGAZO LA KAZI HAPA 

SAMPLE YA BARUA HAPA


Next Post Previous Post