Chunya Mtihani wa Mock Darasa la Nne 2025
WhatsApp Group Join Now

Chunya Mtihani wa Mock Darasa la Nne 2025

 

Chunya Mtihani wa Mock Darasa la Nne 2025 - Standard Four Mock Exams 2025 Chunya

Mitihani ni vipimo rasmi vya kupima maarifa, ujuzi au uwezo wa mwanafunzi vinavyotumika kupima maendeleo au kiwango cha uelewa cha mwanafunzi katika eneo fulani la masomo au taaluma.

Lengo la Mitihani wa Kess Standard Four Exam 2025

1. Kupima uelewa wa mwanafunzi

2. Kumsaidia mwanafunzi kujua kuendelea ngazi nyingine

3. Kutoa ngazi ya mwanafunzi kujitathmini

4. Kumsaidia mwalimu kujua kama wanafunzi wake wameelewa Somo.


Umuhimu wa Mitihani wa Kess Standard Four Exam 2025

1. Kuchochea juhudi na nidhamu ya kujifunza.

2. Kutoa Sifa au vyeti kwa wale wanaofaulu.

3. Kuthibithisha uelewa wa mwanafunzi.

4. Kuwezesha walimu au taasisi kupanga hatua za baadae.

5. Kumwezesha mwanafunzi kuwa na uwezo wa kumanage time vizuri. 

Chunya Mtihani wa Mock Darasa la Nne 2025

DOWNLOAD PDF HERE

Top Post Ad

Below Post Ad