Download Mesp July Monthly Test Baby Class to Class Seven - Mesp Standard One Exam - Mesp Standard Two July Test 2025 - Mesp Standard Seven Monthly Test 2025 - Mesp Standard Four Exam - Mesp Standard Two Monthly Test 2025
Lengo la Mitihani wa Mesp July Monthly Test Baby Class to Class Seven 2025
1. Kupima uelewa wa mwanafunzi
2. Kumsaidia mwanafunzi kujua kuendelea ngazi nyingine
3. Kutoa ngazi ya mwanafunzi kujitathmini
4. Kumsaidia mwalimu kujua kama wanafunzi wake wameelewa Somo.
Umuhimu wa Mitihani wa Mesp July Monthly Test Baby Class to Class Seven 2025
1. Kuchochea juhudi na nidhamu ya kujifunza.
2. Kutoa Sifa au vyeti kwa wale wanaofaulu.
3. Kuthibithisha uelewa wa mwanafunzi.
4. Kuwezesha walimu au taasisi kupanga hatua za baadae.
5. Kumwezesha mwanafunzi kuwa na uwezo wa kumanage time vizuri.
