Tangazo la Nafasi za Kazi Nanyumbu - Dereva na Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja II
WhatsApp Group Join Now

Tangazo la Nafasi za Kazi Nanyumbu - Dereva na Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja II

 


Tangazo la Nafasi za Kazi Nanyumbu - Dereva na Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja II

The Executive Director of Nanyumbu District Council, through the new employment permit with reference number FA.97/228/01/A/25 dated 29th April, 2025, which authorizes the recruitment of Office Management Secretary Grade II (4 positions) and Driver Grade II (5 positions) from the Permanent Secretary of the President’s Office – Public Service Management and Good Governance, hereby announces job vacancies.

1. MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA II - NAFASI 04 

2. DEREVA DARAJA LA II - NAFASI 5 


MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI KAZI

i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri wa kuanzia miaka18 na usiozidi miaka 45.

ii. Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye Mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi waUmma

iii. Waombaji wote waambatishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza (DetailCurriculum Vitae) yenye anuani inayotumika, namba za simu zinazopatikana na Anuani ya Barua Pepe (E-mail address) pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu wa kuaminika.

iv. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detail C.V) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika;

v. Maombi yote yaambatane na vyeti vya Elimu na Taaluma vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya Kidato cha Nne au Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates, - Cheti cha mtihani wa Kidato cha IV na VI, - Computer Certificate, - Vyeti vya Kitaaluma (Professional Certificate from Respective Boards);

vi. “Testmonial“, ‘‘Provisional Results“, “Statement of results“, hati ya matokeo ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA. 

vii. Waombaji kazi wa kada ya Dereva II wenye leseni Daraja E au C wanapaswa 

KUAMBATISHA vyeti vya mafunzo ya Udereva vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika.

viii. Waombaji waliosoma nje ya Nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na vimethibitishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE). 

ix. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi.


DOWNLOAD PDF HERE - SWAHILI VERSION

Top Post Ad

Below Post Ad