Chamwino & Mvumi Usaili Uchaguzi Mkuu
Msimamizi wa Uchaguzi wa Majimbo ya Chamwino na Mvumi anawatangazia waombaji wa ajira za muda kwa nafazi ya Msimamizi wa Kituo cha Kupigia Kura; Msimamizi Msaidizi wa Kituo cha Kupigia Kura pamoja na Karani Mwongoza wapiga kura; kuhudhuria usaili utakapofanyika tarehe 14 Oktoba, 2025. Usaili utafanyika kuanzia saa 1:00 asubuhi.
Kila mwombaji anatakiwa kufika akiwa na moja kati ya vitambulisho vifuatavyo:-
1. Kitambulisho cha Taifa, Kitambulisho cha Mpira Kura, Leseni ya Udereva, Pasi ya Kusafiria au barua ya utambulisho kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji/Mtaa anaotoka/ishi.
2. Orodha ya wasailiwa pamoja na kumbi za usaili zimeambatishwa pamoja na tangazo hili.
Aidha, orodha zimebandikwa katika ofisi za Watendaji wa Kata na Vijiji.
KUPATA PDF NYINGINE ZA MAJINA YOTE FOLLOW CHANNEL YETU - BONYEZA HAPA