Dodoma Mtihani wa Darasa la Saba 2025 Kondoa and Chemba
WhatsApp Group Join Now

Dodoma Mtihani wa Darasa la Saba 2025 Kondoa and Chemba

 

Download Pdf of Dodoma Mtihani wa Darasa la Saba 2025 Kondoa and Chemba - Standard Seven Joint Examination 2025 Dodoma.

Mitihani ni vipimo rasmi vya kupima maarifa, ujuzi au uwezo wa mwanafunzi vinavyotumika kupima maendeleo au kiwango cha uelewa cha mwanafunzi katika eneo fulani la masomo au taaluma.

Lengo la Mitihani wa Kess Standard Four Exam 2025

1. Kupima uelewa wa mwanafunzi

2. Kumsaidia mwanafunzi kujua kuendelea ngazi nyingine

3. Kutoa ngazi ya mwanafunzi kujitathmini

4. Kumsaidia mwalimu kujua kama wanafunzi wake wameelewa Somo.


Umuhimu wa Mitihani wa Kess Standard Four Exam 2025

1. Kuchochea juhudi na nidhamu ya kujifunza.

2. Kutoa Sifa au vyeti kwa wale wanaofaulu.

3. Kuthibithisha uelewa wa mwanafunzi.

4. Kuwezesha walimu au taasisi kupanga hatua za baadae.

5. Kumwezesha mwanafunzi kuwa na uwezo wa kumanage time vizuri. 

Dodoma Mtihani wa Darasa la Saba 2025 Kondoa and Chemba

DOWNLOAD PDF HERE

Top Post Ad

Below Post Ad