Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Ushetu, Ngara na Nanyamba 2025 Ajira Portal

 

Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Ushetu, Ngara na Nanyamba 2025 Ajira Portal

Sekretarieti ya Ajira Portal kupitia Tovuti yake imetangaza nafasi za kazi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Ngara pamoja na Nanyamba leo tarehe 30/05/2025. Waombaji wote wanapaswa kutuma maombi yao kupitia akaunti zao. 

Download Pdf ya Tangazo la Kazi kwa kila Halmashauri kama wewe ni Mtafutaji wa Ajira uweze kupata maelekezo na sifa za muombaji. Mambo yote muhimu kama 

1. Nafasi za Kazi 

2. Kiwangi cha mshahara 

3. Sifa za muombaji 

4. Tarehe ya mwisho ya kutuma maombi 

5. Jinsi ya kutuma maombi 

6. Pamoja na vitu muhimu vinavyohitajika kama Vitambulisho, vyeti n.k

Download Pdf za Tangazo kwa Kugusa Jina la Halmashauri unayotaka kuomba kazi.



Next Post Previous Post