WhatsApp Group Join Now

Ads Area

Sample of Teacher's Oral Interview Questions 2025 - Maswali ya Oral Interview Walimu

 

Sample of Teacher's Oral Interview Questions 2025 - Maswali ya Oral Interview Walimu

Karibu tena Shuleforum Educational Blog. Leo tumekuandalia Makala hii nzuri inayohusu baadhi ya maswali yanayoulizwa kwenye usaili wa Mazungumzo 2025 Ajira Portal. Mada zitakazo zungumziwa ni kama zifuatazo: 

1. Maana ya Oral Interview

2. Ukaguzi wa Vyeti vya Taaluma na Vitambulisho. 

3. Zoezi la Kuandaa Lesson Notes

4. Aina ya Maswali Yanayoulizwa. 

5. Mfano wa Maswali Yaliyoulizwa Degree na Diploma. 

1. Maana ya Oral Interview 

Oral Interview kwa kiswahili fasaha ni usaili wa Mazungumzo ambapo msailiwa ataulizwa maswali Yanayohusu taaluma yake ana kwa ana na muulizaji mmoja wapo kutoka katika Panel iliyoandaliwa. 

2. Ukaguzi wa Vyeti vya Taluuma na Vitambulisho. 

Baada ya kufika kwenye Kituo cha Usaili ulichopangiwa kutakuwa na zoezi la ukaguzi wa vyeti vyako vya taaluma pamoja na kitambulisho chako(Nida, Cha Kura au Barua ya Utambulisho kutoka kwenye mtaa uliotoka au kijiji). 

3. Zoezi la Kuandaa Lesson Notes. 

Baada ya Zoezi la ukaguzi wa Vyeti na kupewa maelekezo ya awali wasailiwa wote watapewa muda ili waandae lesson notes. Hapa utapewa karatasi yenye maelekezo ya kuchagua mada unayoipenda na kuandaa notes ambazo utakwenda kuzipresent mbele ya panel. 

4. Aina ya Maswali Yanayoulizwa 

Baada ya muda wa kuandaa notes kuisha notes ulizoandaa zitakusanywa. Kisha mtapewa maelekezo ya room ambazo mtaingia kwaajili ya oral interview. Aina ya maswali waliyouliza kwa usaili uliofanyika Miezi ya mwanzoni ni: 

  • Swali la kwanza lilikuwa ni kujiintroduce (Tell Us about Yourself).
  •  Baada ya kujibu swali la introduce yourself utapewa dakika 10 za Kupresent/Kufundisha panel ile mada uliyoiandaa hakikisha unaelezea vizuri na chukulia panel kama ndio wanafunzi wako. 
  • Baada ya kumaliza Kupresent Notes zako au Mada uliyoiandaa utaulizwa swali moja kutoka katika somo unalofundisha au unalosailiwa. Swali litatoka mada yoyote na kidato chochote kama ulipita Form Six unaweza ulizwa swali la Mada za form six (Swali lilikuwa moja tu). 
  • Maswali mengine yasiyopungua manne yalitoka kwenye module za education kama educational psychology, pedagogy etc. 

5. Mfano wa Maswali Yaliyoulizwa Degree na Diploma. 

Miongoni mwa maswali yalioulizwa kwa walimu waliosailiwa January na February ni kama: 

I. ORAL INTERVIEW PHYSICS IIIC

a. Tell us about yourself and education background

b. Importance of having a curriculum in our education (5 points)

c. What to consider before planning a lesson (5 points)

d. What are the importance of keeping records of students' results in physics subject (5 points)

e. Present topics of your interest 

II. Maswali ya Oral Walimu III A 

a. MBINU GANI UTATUMIA KUMJENGEA MWANAFUNZI KUMBUKUMBU YA KUDUMU - (What methods would you use to help a student develop long-term memory?) — Mention 5 points

b. NYARAKA UNAVYOTAKIWA KUWA NAVYO WAKATI WA KUANDAA KIPINDI - (What documents should you have when preparing a lesson?) — Mention 4 teaching materials/documents

c. MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOANDAA ZANA ZA KUFUNDISHIA- (What things should you consider when preparing teaching aids?) — Mention 5 points

d. HATUA ZA KUZINGATIA WAKATI WA KUANDAA KIPINDI - (Steps to consider when preparing a lesson plan) — Mention 5 steps

III. MASWALI NILIYOKUTANA NAYO KWENYE ORAL YA HISTORY.

(Questions I encountered in the History oral exam.)

a. Explain yourself

b. Choose any topic and then present.

c. Criterias to consider when choosing a teaching methods.

d. Mantion currently tranding grobal issues.

e. Importance of diaspora in Tanzania.

f. Challengies faced Zanzibar revolution 

IV. MASWALI YA ORAL INTERVIEW WALIMU SHULE YA MSINGI IIIC

 a. Briefly explain your educational background

 b. Choose any top then present in panel. Assume a panel as students

 c. As a primary teacher how will help pupils who performing poor. 5points

 d. As primary teacher which teaching strategies will you use. 5points

 e. How ict intergrated in teaching and learning. 5point

 f. Explain the importance of using teaching manual in teaching and learning process. 

V. MASWALI YA ORAL INTERVIEW WALIMU IIIB MATHEMATICS 

 a. explian briefly about your self

 b. What do you consider when preparing mathematics lesson (five points)

 c. What strategies do you consider to make mathematics to be simple to students (five points)

 d. What is the importance of professional development in mathematics (five points)

 e. Mention five laws of algebra which are used in simplification of logic.

VI. MASWALI YA ORAL SOMO LA KISWAHILI 

 a. Kujielezea mwenyewe @ajiracoach (Introduce yourself)

 b. Kuandaa mada uipendayo kisha uiwasilishe kwenye Panel kwa njia ya ufundishj (Prepare a topic of your choice and then present it to the Panel using teaching methods)

 c. Njia za kuwasaidia wanafunzi kupata misamiati @ajiracoach (Ways to help students acquire vocabulary)

 d. Jinsi ya kuondoa changamoto ya matamshi katika lugha ya kufundishia (How to remove pronunciation challenges in the language of instruction)

 e. Nyezo za kufundishia (Teaching aids/resources)

SOMA HAPA NAMNA YA KUFAULU ORAL INTERVIEW 


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad