Download Ilala Mtihani wa Upimaji Darasa la Nne 2025 Both English and Swahili Medium. Waandae Wanafunzi wako wa Darasa la Nne 2025 dhidi ya mtihani wao wa Taifa SFNA kwa kutumia mitihani iliyofanyika mikoa mengine mfano huu mtihani wa ilala mkoa wa Dar es Salaam ulifanyika July na umeandaliwa kwa kufuata Mtaala mpya na Format mpya ya utungaji mitihani kutoka Necta.
IMLA/DICTATION
Haya ni maneno au sentensi inayosoma na msimamizi wa mtihani wakati mtihani unaendelea na mwanafunzi atakuwa anasikiliza na kubadili maneno hayo yanayosomwa kuwa lugha ya maandishi. Lengo la upimaji wa wanafunzi kupitia imla ni kuwapima Listening and Writing Skills.
JINSI YA KUDOWNLOAD ILALA MTIHANI WA UPIMAJI DARASA LA NNE 2025
Gusa swahili au english medium kupata mitihani ya aina ya shule yako kisha chagua chrome kuendelea mbele. Page mpya ya mitihani itafunguka preview kisha download pdf kwa kugusa alama ya download iliyopo juu kulia mwa page hiyo.
ILALA EXAM 2025 SWAHILI MEDIUM