WhatsApp Group Join Now

Ads Area

Matokeo ya Mock Form Four 2025 Zanzibar

 

Matokeo ya Mock Form Four 2025 Zanzibar


Matokeo ya Mock Form Four 2025 Zanzibar is Out - Urban West Zanzibar Form Four Mock Results 2025 Released Today. 

Nini Maana Ya Matokeo Ya Mock? 

Mock Exam ni Mtihani wa Utimilifu unaofanyika Kuanzia May au June Kila Mwaka kwa kidato cha Nne. Mitihani hiyo baada ya Kusahihishwa matokeo yanawekwa kwenye database na kupatikana kupitia Tovuti official za Mkoa au Nchi hiyo bure. Matokeo ya Mock ni matokeo ya jumla ya mitihani ya mock(utimilifu) ya kidato cha nne yanayoonyesha Ufaulu wa shule kwa kata, Wilaya au Mkoa pamoja na Ufaulu wa Kila Somo. 

Je Kuna Umuhimu wowote wa matokeo haya kwa wanafunzi wa Kidato cha Nne 2025 Zanzibar? 

Ndio, kupitia matokeo haya ya Mock Unguja (urban west) wanafunzi wa Form Four Zanzibar watapata motivation kwa kile walichokifanya na kuongeza juhudi ili wafanye vizuri zaidi mtihani wao wa mwisho ili kupata vigezo vya kujiunga na Form Five au College 2026. 

Walimu pia wanatumia matokeo haya kufanya Tathmini ya maendeleo ya wanafunzi wake na kutafuta njia mbadala ya kuinua ufaulu wa juu Mtihani wao mwisho 2025 kwa kidato cha nne. 

Matokeo ya Mock Form Four 2025 Zanzibar 

CLICK HERE TO VIEW RESULTS

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad