WhatsApp Group Join Now

Ads Area

Matokeo ya Mtihani wa Mock Darasa la Saba 2025 Tanga

 

Karibu tena shuleforum.co.tz website yenye makala za kielimu pamoja na ajira. Katika makala hii tumekuletea Matokeo ya Mtihani wa Mock Darasa la Saba 2025 Tanga yaliyotangazwa na Tanga Primary Hub (tangaprimaryhub.com). Angalia sasa Standard Seven Mock Results 2025 Tanga. 

Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Mtihani wa Mock Darasa la Saba 2025 Tanga 

1. Gusa batani nyekundu hapo chini yenye rangi nyekundu. 

2. Baaada ya kugusa ukurasa wa tanga primary hub utafunguka. 

3. Chagua herufi yenye kufanana na herufi ya kwanza ya jina la shule unayotaka kuona matokeo yake. Hii inasaidia kusort shule kwa majina. 

4. Gusa jina la shule yako kisha subiri matokeo yafunguke. 

5. Zoom au kuza ili kuona vizuri matokeo ya Mock Darasa la saba Tanga. 


CLICK HERE TO CHECK RESULTS 

ZONAL MOCK 2025 RESULTS 

CLICK HERE

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad