WhatsApp Group Join Now

Ads Area

Nafasi Mpya za Kazi Walimu 2025 Ajira Portal

 

Nafasi Mpya za Kazi Walimu 2025 Ajira Portal

Nafasi Mpya za Kazi Walimu 2025 Ajira Portal. Sekretarieti ya Ajira Portal kupitia website ya portal.ajira.go.tz nafasi mpya za kazi kwa walimu daraja la iiib and iiic kwa masomo ya Kemia, Elimu Maalumu, Fasihi ya Kiingereza,  Somo la Uchumi, Somo la Biashara na Somo la Lishe. 

Jinsi ya Kuomba Nafasi Za Kazi Zilizotangazwa: 

i. Login katika akaunti yako ajira portal ya portal.ajira.go.tz 

ii. Nenda sehemu ya Vacancies kisha search somo lako. 

iii. Bonyeza neno Apply ila hakikisha ushaandaa barua ya maombi ya kazi. 

Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 22-08-2025

Masomo Yaliyotangazwa Hivi Karibuni

1. MWALIMU DARAJA LA IIIB - SOMO LA KEMIA(CHEMISTRY) 

2. MWALIMU DARAJA LA IIIB- ELIMU MAALUMU 

3. MWALIMU DARAJA LA IIIB - FASIHI YA KIINGEREZA (ENGLISH LITERATURE) 

4. MWALIMU DARAJA LA IIIB - SOMO LA UCHUMI 

5. MWALIMU DARAJA LA IIIB - SOMO LA BIASHARA 

6. MWALIMU DARAJA LA IIIC - SOMO LA LISHE  

   VISIT AJIRA PORTAL HERE 


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad