SECSA Mtihani wa Darasa la Saba 2025 Awamu ya Sita - Secsa Standard Seven Examination 2025 Series Six - Prepare your Standard Seven Students with SECSA Mtihani wa Darasa la Saba 2025 Awamu ya Sita
Lengo la SECSA Mtihani wa Darasa la Saba 2025 Awamu ya Sita
1. Kupima uelewa wa mwanafunzi
2. Kumsaidia mwanafunzi kujua kuendelea ngazi nyingine
3. Kutoa ngazi ya mwanafunzi kujitathmini
4. Kumsaidia mwalimu kujua kama wanafunzi wake wameelewa Somo.
Umuhimu wa SECSA Mtihani wa Darasa la Saba 2025 Awamu ya Sita
1. Kuchochea juhudi na nidhamu ya kujifunza.
2. Kutoa Sifa au vyeti kwa wale wanaofaulu.
3. Kuthibithisha uelewa wa mwanafunzi.
4. Kuwezesha walimu au taasisi kupanga hatua za baadae.
5. Kumwezesha mwanafunzi kuwa na uwezo wa kumanage time vizuri.
