Isese Form Two Pre-Necta Past Papers 2025 with Answers - Mtihani wa Pre National Examination 2025 with Marking Schemes
Lengo la Mitihani - Past Papers - Examination - Exams - Exam Papers
1. Kupima uelewa wa mwanafunzi
2. Kumsaidia mwanafunzi kujua kuendelea ngazi nyingine
3. Kutoa ngazi ya mwanafunzi kujitathmini
4. Kumsaidia mwalimu kujua kama wanafunzi wake wameelewa Somo.
Umuhimu wa Mitihani
1. Kuchochea juhudi na nidhamu ya kujifunza.
2. Kutoa Sifa au vyeti kwa wale wanaofaulu.
3. Kuthibithisha uelewa wa mwanafunzi.
4. Kuwezesha walimu au taasisi kupanga hatua za baadae.
5. Kumwezesha mwanafunzi kuwa na uwezo wa kumanage time vizuri.