Matokeo ya Usaili wa Vitendo Kada Zote 2025 Ajira Portal

 

Matokeo ya Usaili wa Vitendo Kada Zote 2025 Ajira Portal


Matokeo ya Usaili wa Vitendo Kada Zote 2025 Ajira Portal

Ajira Portal leo wametangaza Matokeo ya Vitendo ya Usaili uliofanyika 15-06-2025. Sekretarieti ya Ajira Portal kupitia tovuti yake ajira.go.tz imeweka tangazo la matokeo ya usaili huo, waombaji wote waliofanya usaili siku hiyo wanapaswa kudownload PDF ya majina ya wote waliofanya usaili wa vitendo ikiwa na marks kwa kila msailiwa aliyoipata. 

Pia Ajira Portal inawakumbusha kuwa kufika hatua nyingine kila mmoja aambatanishe Vyeti vyake original wakati wa usaili wa mazungumzo. Hautaruhusiwa kufanya usaili kama Hautafika eneo ya kusailiwa na vyeti originl.

Download Pdf kwa kugusa batani yenye rangi nyekundu. Pdf itaanza kupakia na kuhifadhiwa kwenye simu yako.

 

 OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II PDF

Umuhimu wa Usaili 2025 Kupitia Ajira Portal

1. Kuthibitisha Ustahiki wa Waombaji Usaili ni njia ya kuhakiki kama mwombaji ana ujuzi, elimu, na uwezo unaohitajika kwa nafasi ya kazi. Kupitia usaili, waajiri wanaweza kutofautisha kati ya waombaji wenye sifa zinazofanana na kuchagua bora zaidi.


2. Kuhakikisha Uwiano wa Mahitaji ya Ajira na Rasilimali Watu Kwa kutumia Ajira Portal, serikali huweza kupanga usaili kwa kuzingatia mahitaji halisi ya sekta husika, kama afya, elimu, au utawala. Hii huwezesha upangaji bora wa rasilimali watu serikalini.


3. Kuhakikisha Uwiano na Uwazi katika Ajira Usaili kupitia Ajira Portal unatoa mazingira ya haki kwa waombaji wote. Mfumo huu hupunguza upendeleo, urasimu, na nafasi ya rushwa kwa kuwa kila hatua ya mchakato inafanyika kwa uwazi kupitia mfumo wa kidijitali.


4. Kuokoa Gharama na Muda Kwa kutumia mfumo wa Ajira Portal, sehemu kubwa ya mchakato wa usaili huanza mtandaoni kutuma maombi, kuchambua sifa, na hata kutuma wito wa usaili. Hii hupunguza muda na gharama kwa pande zote mbili serikali na waombaji.

Previous Post