Tangazo la Kazi Manispaa ya Shinyanga 2025 Ajira Portal

 

Tangazo la Kazi Manispaa ya Shinyanga 2025 Ajira Portal


Sekretarieti ya Ajira Portal kupitia Advertisment yake imeweka Tangazo la nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Manispaa ya Shinyanga Leo Tarehe 01 June 2025. 

Maombi yote yatatumwa kupitia akaunti za waombaji (Recruitment Portal) kwa link portal.ajira.go.tz. Log in au Tengeneza akaunti yako kuweza kutuma maombi.

Mambo muhimu ya kuzingatia wakati unafanya Application ya nafasi hizo za kazi kama ni kwa mara yako ya kwanza hakikisha vyeti vyako vya taaluma vinagongwa muhuri na mwanasheria anayetambulika na serikali na pia barua ya maombi ya kazi andika kwa mkono. 

Ni muhimu Kudownload Pdf ya Tangazo la Nafasi za Kazi Manispaa ya Shinyanga ili uweze kusoma Sifa za Muombaji, Mahitaji muhimu pamoja na mambo muhimu ya kuzingatia.

Jinsi ya Kudownload Pdf ya Tangazo la Kazi Manispaa ya Shinyanga 2025 Ajira Portal 

Gusa button yenye kuwakawaka hapo chini kisha subiri Pdf iweze Kudownload yenyewe na kuhifadhiwa kwenye simu yako.


Next Post Previous Post