Halmashauri ya Wilaya ya Songea Yatangaza Nafasi za Kazi 2025 Kupitia Ajira Portal Leo

 

Halmashauri ya Wilaya ya Songea Yatangaza Nafasi za Kazi 2025 Kupitia Ajira Portal Leo

Kama wewe ni Mtafutaji wa Ajira Halmashauri ya Wilaya ya Songea inapenda kutangaza nafasi za kazi kupitia Sekretarieti ya Ajira Portal Leo Tarehe 31-05-2025. 

Sifa pamoja na Nafasi za Kazi zimeorodheshwa Kwenye Pdf ya Tangazo. Download Tangazo la Kazi kutoka Songea uweze kusoma Sifa na mambo muhimu ambayo muombaji anapaswa kuyatimiza ili kuwa na sifa ya kuchaguliwa kushiriki usaili. 

Jinsi ya Kudownload Pdf ya Tangazo la Nafasi za Kazi wilaya ya Songea

Gusa kiunganishi hapo chini chenye kuwaka waka kisha subiri sekunde chache Pdf itaanza Kudownload automatic na kuhifadhiwa kwenye simu yako.


Next Post Previous Post