Chuo cha Must Mbeya Leo Kimetangaza Pdf yenye orodha ya Wanafunzi wapya waliochaguliwa Kujiunga na Mwaka wa Masomo 2025/2026.
Pdf hiyo inayoonyesha majina yako Form Four Index Namba Ya Mwanafunzi, Jinsia, Round 1 ya Selection, Pamoja na Kozi Mwanafunzi aliyochaguliwa Kujiunga na chuo hiko 2025/2026.
Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Chuo cha Must Mbeya 2025/2026
How to View the PDF and Check Your Name:
1. Visit the MUST official website: must.ac.tz
2. Go to the Announcements or Admissions section.
3. Locate the link titled Selected Applicants 2025/2026
4. Download the PDF file usually labelled for diploma or degree selections.