Butiama Kuitwa Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi
Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania (INEC), inayosimamia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 wa Rais, Wabunge na Madiwani, imesimamia kwa ufanisi mchakato wa kuchagua waombaji wenye sifa watakaoshiriki usaili kwa lengo la kupata wasimamizi wenye weledi wa kusimamia uchaguzi mkuu.
Wasimamizi wa uchaguzi watakaofaulu mtihani wa kuandika watashiriki katika semina kabla ya siku ya uchaguzi tarehe 29 Oktoba, ili kupata uelewa wa kina kuhusu jinsi ya kusimamia wapiga kura kwa haki na umakini mkubwa.
Aidha, posho za wasimamizi hao kwa nafasi tatu — Msimamizi wa Kituo, Msimamizi Msaidizi wa Kituo, na Karani Mwongozaji wa Wapiga Kura — zimebainishwa katika tangazo la ajira la kusimamia uchaguzi.
Mambo muhimu ya jumla ya kuzingatia:
- Kuwa na kitambulisho chako (NIDA, kitambulisho cha mpiga kura, au barua ya utambulisho kutoka ofisi za mtaa).
- Kuwa na kalamu.
- Fika eneo la usaili mapema.
KUPATA PDF NYINGINE ZA MAJINA YOTE FOLLOW CHANNEL YETU - BONYEZA HAPA