Mtihani wa Mock Darasa la Saba 2025 Nkasi
WhatsApp Group Join Now

Mtihani wa Mock Darasa la Saba 2025 Nkasi

 

Mtihani wa Mock Darasa la Saba 2025 Nkasi ni mitihani ya utimilifu iliyofanyika mwezi wa saba mwaka 2025 halmashauri ya wilaya ya Nkasi. Mtihani huu umefuata Mwongozo wa Necta na umeandaliwa na walimu wazoefu ili kuwapima wanafunzi wa Darasa la saba. 

Download Standard Seven Mock Exams 2025 Nkasi Dc Papers kisha zitumie kuwaandaa wanafunzi wako dhidi ya mtihani wa Kitaifa PSLE Exam utakao fanyika mwaka huu. 

Umuhimu wa Mitihani ya Darasa la Saba 2025 

i. Mitihani ya darasa la saba kutoka wilaya mbalimbali Tanzania hutumika na walimu kuwapima wanafunzi wao baada ya kumaliza mada na kuwafanyia mazoefi ili kuwaandaa kwaajili ya mtihani wa psle. 

ii. Mitihani ya mara kwa mara kwa wanafunzi wa darasa la saba inasaidia wanafunzi kujiamini yaani kuondoa hofu na kuongeza umakini kwa wanafunzi wako. 

iii. Kupitia solving za past papers wanafunzi wako watayajua maswali muhimu yote na yanayojirudia hivyo hii itawajengea kuwa na concepts nyingi kichwani.


DOWNLOAD PDF HERE

Top Post Ad

Below Post Ad