TCU Muongozo wa Udahili Shahada ya Kwanza 2025/2026
WhatsApp Group Join Now

TCU Muongozo wa Udahili Shahada ya Kwanza 2025/2026

 

TCU Muongozo wa Udahili Shahada ya Kwanza 2025/2026

TCU Guidebook ni muongozo wa udahili shahada ya kwanza uliotolewa na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) unaoonyesha vyuo na Kozi zinazopatikana katika chuo hicho na maelezo mengine muhimu kama idadi inayohitajika kwa kozi hiyo mwaka 2025/2026, muda wa masomo pamoja na sifa za kuweza kujiunga/kuchaguliwa kozi hiyo. 

Je ni lini TCU watatoa Kitabu cha Muongozo cha Udahili wa Shahada ya Kwanza 2025/2026?

Tume ya Vyuo Vikuu imetangaza na Kupublish Kitabu cha Muongozo wa Udahili kwa shahada ya kwanza tarehe 12/07/2025. 

Kwa wale wote wanaotarajia kufanya maombi ya vyuo vikuu wanapaswa Kudownload Vitabu vya muongozo ili kusoma kwa makini sifa za pamoja kupata nafasi ya kusoma shahada ya kwanza na sifa ya kila kozi/requirements. Kwa wale waliomaliza Form Six watadownload Bachelor's Degree Admission for Holders of Secondary Qualifications na wale waliomaliza/kusoma Diploma na wanataka kujiendeleza Shahada ya kwanza watadownload TCU Guidebook For Ordinary Diploma Qualifications. 

Hapa Chini nitaweka link ambayo utaweza kupata TCU Guidebook 2025/2026 Kwa Form Six na Diploma. 


GUSA HAPA KUPATA TCU GUIDEBOOK 2025/2026

Top Post Ad

Below Post Ad