Karibu kwenye blogi yetu! Katika makala hii, tutakuletea NECTA Format Darasa la Pili, mwongozo muhimu kwa walimu, wazazi, na wanafunzi. Huu ni muundo rasmi unaotumika kuandaa mitihani ya darasa la pili kulingana na miongozo ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Kupitia format hii, utaweza kuelewa aina ya maswali yanayoulizwa, idadi ya maswali kwa kila somo, na jinsi ya kujiandaa vyema kwa mitihani ya msingi.